🤝 MAUZO EXTRA UBIA

Leta wateja. Pata 35%.

Jisajili bila malipo, pata promo code yako, mpe mteja uliyemleta na aiweke wakati wa kufungua biashara yake. Kila subscription iliyothibitishwa inakuletea 35% ya kiasi kilicholipwa kwa miaka 5 tangu referral kuunganishwa.

MFANO WA PROMO CODE
JUMA4821

Mteja akiweka code yako, business yake itaunganishwa nawe kwa miaka 5.

35% kwa subscription iliyokamilika
INAVYOFANYA KAZI

Hatua 3 tu

1

Jisajili

Thibitisha account kwa code ya Email na SMS.

2

Shiriki Promo Code

Mteja wako aiweke wakati wa kusajili biashara yake.

3

Pata 35%

Commission inaingia kwenye ledger baada ya subscription kuthibitishwa.