Uza Sasa
Chagua kundi na bidhaa. Mauzo yakikamilika stock inapungua yenyewe.
MAUZO EXTRA inaunganisha bidhaa, makundi, stock, wateja, mauzo, watumiaji na ripoti sehemu moja. Imetengenezwa ili hata mtu asiyezoea mifumo aweze kuitumia kwa urahisi.
Chagua kundi na bidhaa. Mauzo yakikamilika stock inapungua yenyewe.
Kila bidhaa iko kwenye kundi lake, hivyo kutafuta, kuuza na kusoma stock ni rahisi.
Stock in, stock out, adjustment na sale movement zinahifadhi historia kamili.
Wateja, mauzo yao na madeni yao vinaonekana sehemu moja.
Mmiliki anaamua kila mtumiaji anaweza kuona au kufanya nini.
Mauzo, faida, matumizi na bidhaa zinazouza zaidi vinatokana na taarifa zilezile za biashara.
Weka jina, bei na stock ya mwanzo.
Chagua kundi, gusa bidhaa na weka kiasi.
Stock, mteja, risiti na ripoti vina-update pamoja.
Fungua akaunti, ongeza bidhaa na anza kuuza.