Mfumo rahisi wa mauzo uliotengenezwa kwa biashara halisi.
Tunafanya usimamizi wa mauzo uwe rahisi kwa duka, kiosk, salon, pharmacy, boutique, hardware na biashara nyingine. Mtumiaji anaweza kuona UZA SASA, kuchagua kundi na bidhaa, kisha kukamilisha mauzo bila mafunzo marefu.
Kila bidhaa ina kundi lake. Opening stock, stock in, stock out, adjustments na sales movement vina historia, na mauzo yakikamilika stock inapungua kiotomatiki.
Kila biashara ina data yake tofauti. Mmiliki anaweza kuongeza watumiaji na kuchagua role pamoja na ruhusa zinazofaa.
Mipango inaanzia TZS 2,000 hadi TZS 40,000 kwa mwezi, na inalipwa kwa mwezi 1, miezi 3, miezi 6 au mwaka 1. Partner anapata promo code na 35% ya completed subscriptions za referrals zake kwa miaka 5.